Shop for Rent in Mbagala Mission, Dar Es Salaam

Type
Shop
Amenities
Description
FREM/MADUKA/OFISI ZINAPANGISHWA, MBAGALA- MISSION. Hapa tuna Maduka 12. Ukubwa unatofautiana, Kadhalika na Kiwango cha Kodi kwa Mwezi. Kubwa Kodi kwa Mwezi ni Tshs.250,000. Ndogo Kodi kwa Mwezi ni Tshs.150,000. Ni mpya na zipo Kituocha Daladala. Inahitajika Kodi ya kuanzia MieI 6 na kuendelea, Ilipwe MWANZO WA MKATABA. Panafaa Shughuli kama: Ofisi, Mafundi Nguo(Charahani) Wasusi,, Mafundi Simu nk. WAHI UJICHAGULIE ITAKAYOKUFAA. ________________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja. Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MPANGAJI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. ____________dgmss




