Search

Shop for Rent in Mbagala Mission, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 250,000/month

Amenities

Near Bus Stand
New Construction
Office Space
Tailoring Shop
Salon
Phone Repair Shop

Description

FREM/MADUKA/OFISI ZINAPANGISHWA,
MBAGALA- MISSION.

Hapa tuna Maduka 12.
Ukubwa unatofautiana,
Kadhalika na Kiwango cha Kodi kwa Mwezi.

Kubwa Kodi kwa Mwezi ni Tshs.250,000.
Ndogo Kodi kwa Mwezi ni Tshs.150,000.

Ni mpya na zipo Kituocha Daladala.

Inahitajika Kodi ya kuanzia MieI 6 na kuendelea,
Ilipwe MWANZO WA MKATABA.

Panafaa Shughuli kama:
Ofisi, Mafundi Nguo(Charahani)
Wasusi,, Mafundi Simu nk.

WAHI UJICHAGULIE ITAKAYOKUFAA.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

____________dgmss

Similar properties in Mbagala, Dar Es Salaam