Shop for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA 🔥
Unatafuta frem nzuri kwa biashara yako? Hii hapa!
📍 Ipo Sinza – eneo lenye biashara nyingi na wateja wa kutosha
🏢 Frem nzuri sana yenye muonekano wa kuvutia
🛣 Inatazama barabara ya lami – rahisi kuonekana kwa wateja
âś… Inafaa kwa biashara yeyote (duka, ofisi, salon n.k)
đź’° Bei: 600,000/= kwa mwezi
đź§ľ Service Charge: 30,000/=
📞 Piga simu sasa: 0787093748
Chukua hatua leo, weka biashara yako sehemu sahihi! 🚀















