Shop for Rent in Sinza Mori, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🔥 FREM KALI SANA INAPANGISHWA – SINZA MORI 🔥
Hii si frem ya kawaida! 😮💨
Kama unatafuta sehemu yenye hadhi ya biashara na space kubwa ya kufanya kazi zako kwa uhuru, basi hii ndiyo chaguo sahihi 💯
📍 Location: Sinza Mori
🏢 Frem kubwa sana ipo sehemu nzuri mno ya biashara
✅ Inafaa kwa biashara yeyote
✅ Mazingira ya uhakika yenye movement kubwa
✅ Panaonekana kirahisi na panafikika vizuri
💰 Bei: 1,200,000/= kwa mwezi
🧾 Service Charge: 30K tu
Wale wanaojua thamani ya location nzuri na frem kubwa, hii ni nafasi ya kuichukua mapema kabla haijaondoka 🔑
📞 Call: 0787093748 kwa mawasiliano zaidi na kuja kuiona.















