Shop for Sale in Sinza, Dar Es Salaam

Sinza, Dar Es Salaam
23 days ago
Sh. 27,000,000
Description
🛍️ DUKA LA NGUO ZA WATOTO LINAUZWA – SINZA 👶👕✨
Fursa nzuri kwa anayehitaji kuendelea na biashara iliyo tayari!
✅ Linauzwa na mzigo wa kutosha
✅ Kodi ya pango ni Tsh 500,000 kwa mwezi
✅ Lina miezi 7 ya kodi iliyolipwa
✅ Lipo eneo zuri lenye wateja
💰 Bei: Tsh 27,000,000
🤝 Maongezi yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya kweli.
📌 Service Charge: Tsh 30,000
📞 Wasiliana: 0678 512 666









