Tafuta

Duka linauzwa Sinza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 27,000,000

Maelezo

🛍️ DUKA LA NGUO ZA WATOTO LINAUZWA – SINZA 👶👕✨

Fursa nzuri kwa anayehitaji kuendelea na biashara iliyo tayari!

✅ Linauzwa na mzigo wa kutosha
✅ Kodi ya pango ni Tsh 500,000 kwa mwezi
✅ Lina miezi 7 ya kodi iliyolipwa
✅ Lipo eneo zuri lenye wateja

💰 Bei: Tsh 27,000,000
🤝 Maongezi yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya kweli.

📌 Service Charge: Tsh 30,000

📞 Wasiliana: 0678 512 666

Matangazo mengine Sinza, Dar Es Salaam