Residential Plots for Sale in Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Type
Residential Plot
Plot Size
400 SQM
Nearest Road
3km
Installment
Available
Amenities
Description
MRADI MPYA WA VIWANJA VILIVYO PIMWA KIGAMBONI
hakikisha hapa haukosi kiwanja , Viwanja vilivyopo;
P mwembemdogo , Km 18 kutokea ferry na km 20 kutokea darajani ( km 3 kutoka barabara ya rami ya kimbiji - ferry ) karibu na chuo cha afya kigamboni city collage
Ukubwa; 400 - 1000+ SQM
-
BEI: 20,000/= kwa SQM CASH , na 23,000/= kwa SQM kwa malipo ya awamu ( installment )
• kwa awamu unaanza na million 2 tu kisha inayobaki
unamaliza kwa kulipa kila mwezi kidogokidogo mwaka mzima kwa kiwanja chochote , ukubwa wowote na bei yeyote
-
Viwanja vimepimwa na utapata Hati Miliki Kutoka Wizarani!
HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIMEFIKA SITE.
O Maji
. Umeme
Barabara
6 dRATIBA YA KWENDA SITE
Kila siku : Jumatatu - Jumapili
Muda: SAA 9:00 asubuhi - 11:00 jioni
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837
