Residential Plots for Sale in Mwasonga, Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 25,000 per sqm

Type

Residential Plot

Plot Size

400 SQM

Nearest Road

1km

Installment

Available

Amenities

Near Road
Near Paved Road

Description

KIGAMBONI MWASONGA(GOLDEN TOUCH PROJECT)

🔑 Sifa za Mradi

🔹Umbali wa 1KM tu kutoka barabara kuu mpaka site.
🔹Barabara nzuri na za kufikika kwa urahisi.
🔹Eneo lenye makazi ya watu tayari.
🔹Mji unaokua kwa kasi na kuongezeka kwa thamani ya ardhi kila siku.
✅ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu🏡

💰 Bei

🔹 Malipo ya CASH
• Bei: 25,000/= kwa sqm
• Kiwanja cha sqm 400
400 x 25,000 =10,000,000
• Unaweza kulipa kwa mkupuo au kwa miezi 3:
➡️ 3,333,333 kila mwezi

🔹 Malipo ya INSTALLMENT
• Bei: 30,000/= kwa sqm
• Kiwanja cha sqm 400
400 x 30000=12,000,000
• Unaanza na 10% ya awali (1,200,000)
• inayobaki unalipa kwa miezi 12:
➡️ 900,000 kila mwezi.

☎️0675557452