Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
Apartment for rent house
Inajitegemea umeme na maji
Ina Vyumba viwili vya kulala
Chumba kimoja master
Sebule kubwa
Jiko lenye kabati
Public toilet
Paving block
Garden safi
____________
BEI LAKI 350,000/= malipo ya miezi 6.
IPO DAR ES SALAAM Tz.
Location _ Bunju Gerezani
_________
Number
#0688396025whtapp
#0757374050 call.
Tafadhal nipigie simu kwa maelezo zaid.