Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


🏡NYUMBA VYUMBA VIWILI (kimoja self contained)
📍KIGAMBONI-MNADANI
💰250,000/=TZS (Mwezi mmoja kwa dalalikigamboni_kurasini )
🔥Details
●vyumba Viwil vya kulala,sebule kubwa & jiko
●umeme unajitegemea(luku yako)
●Maji yasiyo na chumvi
●vyumba vikubwa vyenye nafasi
●Fenced ✅️
●Parking ✅️
#CLASSIC HOUSE 🔥
🗯Survey charge 20k (pesa ya matembezi kuona nyumba)
For more information contact us
📲 Normal call ☎️0759787233
📲 WhatsApp ☎️ 0759787233
📣USIPOJIBIWA MESSAGE TAFADHALI PIGA SIMU