Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 06/07/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#PARKING
#GARDEN
‼️ INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 450,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA TAHADHARI (CAUTION MONEY) JUMLA INAKUA MIEZI 6 NDUGU MTEJA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0782636396