Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑1.5km kutoka Mwendokasi , Bajaji 500 au Boda Boda 1000 Ukishuka Dakika
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Kimoja Master
🔹Sebule kubwa
🔹Jiko zuri
🔹Choo cha familia
🔹Air conditioner ❄️
🔹Umeme Luku yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fence ya waya, Car Parking kubwa
👉Zipo 2 Hapa Hii ndo Ipo wazi
🔶Kodi Tsh 400, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 400, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊