Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


📍LOCATION KIMARA KOLOGWE 👉KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2
USAFIRI UPO MASAA 24 BAJAJI SH.500 DALADALA SH.500 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 10 KWA MGUU
🏘️ VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO
♨️SIFA ZAKE
TYRIES GPYSAMU DILISHA ALUMINIAMU UMEME MITA YAKO MAJI YANA FROO NDANI FENCI INAJENGWA MAZINGIRA MAZURI SANA
💰KODI 250K MALIPO MIEZI X6
SERVICE CHANGER SH.15000
🔝MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA 🤝
NB: CHUMBANI NA SEBULENI KUNA SAKAFU NYEKUNDU CHOONI NA JIKONI KUNA TYRIES
PIGA CM 0764575774
====