Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


STAND ARONE
HIII NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE YENYEWE NI KUBWA SANA KWA FAMILIA ITAKUWA WAZI TH 01/07/2024
#SEBULE KUBWA SANA
#VYYMBA 3 VYA KULALA
#VIWILI MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#DAINING TABLE
#STORE
#CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA IPO NDANI YA FENSI YAKE PARKING KUBWA SANA UNAWEZA HATA KUFUGA
#INAJITEGEMEA KILA KITU UMEM NA MAJI
#MAJI DAWASA SIMTANK ZA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI WA KILOMITA MOJA NA NUSU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#0652472014
#0754344786