Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT ZIPANGISHWA ZIPO MBILI TU KWENYE COMPAUND MOJA NI 5G APARTMENT
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIKUBWA SANA
#JIKO ZURI OPEN KITCHEN MAKABATI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA KUNAWEKWA GARDEN SAFI
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEMEA
#HITER MAJI MOTO
#MAJI DAWASA SIMTANK 2
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 2-3 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0715949085
0782838336