Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(170,000X6)KIMARA BARUTI 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 500, BODA ELF MOJA
✔️CHUMBA MASTER
✔️ SEBULE
✔️ SEHEMU YA JIKO YENYE KABATI
✔️NDANI YA FENCE
WAHII MAPEMA HII SI YA KUKOSA KABISA ITAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU WA 6
====================
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
===================
LOCATION: KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
==================
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
====================
INAKUA WAZI TAR 30/ 06/ 2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NA CHOCHOTE NI RUKSA
==================
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDAN
NDAN YA FENS
AINA PARKING
GARI INAFIKA MPAKA GETIN
=================
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU MWENYE NYUMBA HAKAI APO
==================
UMBALI KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA BARUTI USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU BODA ELFU MOJA TU MPKA NYUMBAN
==================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
===================
CONTACT
0716223412
0683597453
===========
.
KIUMBE REAL ESTATE AGENTS
.
Epuka matapeli fanya kazi na madalali wenye ofc na waliosajiliwa