Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


STANDI ALONE YA NGUVU KUBWA YA KIFAMILIA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROADI NI DK 6
KWA KUTEMBEA KWA MGUU
==
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU KIMOJAWAPO NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA DAINING JIKO LENYE MAKABATI
STOO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI 500,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 500,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
# Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087