Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 Kimara Temboni
🕑Dakika 13 Kutembea kutoka Morogoro main Road, Boda Boda 1000 tu
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Viwili, Kimoja Master
🔹Sebule kubwa
🔹Jiko & Store
🔹Public Toilet
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Fenced Car Parking & Garden
👉Zipo 3 Hapa, na Hii Ya Chini ndio Inakuwa wazi Tar 30/06/2024. kuiona na Kulipia Ruksa
🔶Kodi Tsh 500, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 500, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊