Nyumba inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam


Minja real estate & Car Broker inakuletea:-
NYUMBA ya KUPANGISHA makumbusho.
NYUMBA Ina vyumba vitatu vyote masters.
Jiko, sebule na public toilet.
Kuna servant quarter pia Ina vyumba vitatu viwili masters.
Parking ya MAGARI 7.
Bei Kwa mwezi mil 1.3
Mawasiliano piga au what's app namba 0687575770.