Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
PIGA SIMU 0755831740
LOCATION:
MBEZI INN/ HIGH
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE NZURI
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE
PAVING BLOCK ZINAWEKWAA
KODI 300,000 X 6 KAMILI BILA HURUMA HAPAA
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA