Nyumba inapangishwa Mlimani, Morogoro


Master bedroom, Sebule na Jiko 500k🏘️
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Mlimani city📍
• Chumba Kimoja ni Master
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking ipo
• Full Air Conditioner
• Nyumba ipo karibu na barabarani
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 500k
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
•0744701813 Normal/Whatsapp📲