Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #Mpyaaa
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO RIVERSIDE BARABARANI KABISAAA
Umbali: Dakika ZERO kwa Mguu Kutoka Kwenye Barabarani
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI Vya Kulala Kimoja Wapo Master
โข Jiko Kubwa lenye Makabati
โข Choo Kizuri Ndani
โข Balcony
โข Stoo
Apartment zipo 3 Ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 450,000 Malipo Miezi 6
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp