Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
🗯️Inapangishwa KIMARA KOROGWE
đź“Ť 350,000/= *6
_________
___
• Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
• Sebule kubwa
• Jiko Kubwa
• Public Toilet
* Inajitegemea UMEME
* Maji yanatoka ndani
* Slide Windows
* Ndani ya Fensi zipo 3, moja ya chini ndio inakuwa wazi
* Parking
#Umbali wa Dk 5 -7 tu kwa miguu kutoka Kituoni
#Note: Inakuwa wazi Tarehe 07/07/2024, kuona na kulipia ruksa
______
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 350,000/=
______
0753-172-516