Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
๐ฏ๏ธKIMARA SUKA
๐ 250,000/= *6
_________
____
โข Vyumba 2 vya kulala (Haina Master)
โข Sebule
โข Jiko
* Parking
* Garden
* Ndani ya Fensi
* Inajitegemea UMEME
* Maji yanatoka ndani
#Umbali wa kutembea dk 10 tu kwa miguu
#Iko Upande wa kulia kama unaenda Mbezi
๐ NOTE: nakuwa wazi tarehe tarehe 30/06/2024, kulipia Ruksa
______
#Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
#Malipo ya Dalali ni 250,000/=
______
0753-172-516