Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


🗯️Inapangishwa MBEZI KWA MSUGURI 
📍 370,000/= *3 (Lipia hata miez 3)
_________
___
• Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Jiko Kubwa
• Public Toilet 
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji yanatoka ndani
* Ndani ya Fensi
* Parking 
• Mazingira TULIVU 
#Umbali wa kushoto kama unaenda Mbezi, 
#Umbali wa 2Km bajaji 700
______
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 370,000/=
______
0753-172-516




















