Nyumba inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


**Nyumba inauzwa Tabata St. Marys Teacher College!**
Nyumba nzuri yenye vyumba vitatu, sebule, jiko, choo, na eneo kidogo la ziada. Bei ni kama bure - TZS 65M tu! Gharama za kuja kuona ni TZS 40,000.
#NyumbaInauzwa #TabataRealEstate #AffordableLiving #TangazoLaNyumba #HomeForSale#dalalisoso #dalalisosotabata#daressalaam
Unakaribishwa kuja kuona!