Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


β¨ CHUMBA MASTER,SEBULE NA JIKO β¨
π LOCATION:Bunju - (Dakika 3 Mpaka Stand)
π MUUNDO WA NYUMBA:
ποΈ 1 Bedroom Master
ποΈ Sebule
π½οΈ Jiko
π° Maji DAWASCO (Unajitegemea)
π‘ Umeme wa LUKU (Unajitegemea)
π° BEI: Tsh 200,000/= kwa mwezi. X4
π Mawasiliano:
WhatsApp / Call:
π± 0687 800 788 / 0713 958 395