Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER + JIKO β NDANI YA FENSI! π
π₯ BEI IMESHUKA! USIKOSE! π₯
π Mahali: Bunju B
πΉ Muundo wa Nyumba:
ποΈ Chumba 1 cha kulala (Master)
π½οΈ Jiko
β‘ Umeme & maji unajitegemea
π§Ή Usafi wa nje unahudumiwa na mtu maalum
π° Kodi: β‘οΈ SASA TSh 110,000/= tu kwa mwezi!
π΅ Usafiri: Boda ni TSh 1,500/= kutoka Kwenye Nyumba mpaka stand
π Piga / WhatsApp:
π² 0687 800 788
π² 0713 958 395