Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


🌟 CHUMBA MASTER, SEBULE & JIKO 🌟
📍 Eneo: Bunju B – Nyumba inaangalia lami
💰 Kodi: TZS 200,000/= kwa mwezi
🏠 Muundo wa Nyumba:
• 🛏️ Chumba 1 (Master)
• 🛋️ Sebule
• 🍽️ Jiko
• ⚡ Umeme unajitegemea
• 🚿 Maji yanajitegemea
📞 Mawasiliano (Simu/WhatsApp):
📲 0687 800 788
📲 0713 958 395



















