Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


#CHUMBA_MASTA_SEBULE_NA_JIKO
đź’§Location :: GOBA NJIA NNE
đź’§Bei ::350,000 Kwa Mwezi
KOD MIEZI 6
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba kimoja ambacho ni Masta
📍Sebule
📍Jiko
📍Fence
📍Feni
📍Umeme wako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia
dalalimbezibeach_salasala
Call/whatsp
0692406639