Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Property Listing:
Location: Maeneo ya Goba Njia nne,
Rooms: Master bedroom, Sebule (Sitting Room), and Jiko (Kitchen)🏠
Rent: 350,000 TZS per month💸
Specifications:
• Nyumba iko Maeneo ya Goba Njia nne
• Chumba kimoja ni Master (One bedroom is a Master bedroom)
• Jiko ni Open kitchen lina makabati (Open kitchen with cabinets)
• Fence ipo na Parking (Fenced compound with parking)
• Maji na umeme ni ya kulipia binafsi (Water and electricity are prepaid)
Distance: Nyumba iko umbali wa dk 10 hadi mainRoad (10 minutes’ distance to the main road)
Payment Conditions:
• Kodi ya nyumba kwa mwezi ni 350,000 TZS (Rent per month is 350,000 TZS)
• Malipo ya kodi ni kwa miezi sita (6) (Rent payment is every six months)
Service Fees:
• Gharama ya kuona nyumba ni 20,000 TZS (inalipwa mara moja hadi utakapopata nyumba) (Viewing fee is 20,000 TZS, paid once until you find the house)
• Gharama ya dalali ni mwezi mmoja wa kodi ya nyumba, ambayo hulipwa na mpangaji tofauti na kodi (Agent fee is one month’s rent, paid by the tenant separate from rent)
Contact:
• Simu/WhatsApp: 0744 701 813📲