Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
#APARTMENT_FOR_RENT_AT_GOBA_NJIA_NNE
šCHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
šSEBULE KUBWA
šJIKO NZURI LENYE MAKABATI
šCHOO CHA FAMILIA NJEE
šUMEME LUKU YAKO
šMAJI YANAFLOW NDANI
KODI NI TZS 350,000/=Ć6
NYUMBA IPO GOBA NJIA NNE MITA CHACHE KUTOKA LAMI NDUGU MTEJA
NYUMBA ITAKUWA WAZI MWISHONI MWA MWEZI HUU WA KWANZA KUONA NA KULIPIA RUKSA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI NA PARKING KUBWA YA KUTOSHA KABISA
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000/=
Call me
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747