Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Iwambi, Mbeya


Chumba kimoja master bedroom na sebule jiko
Umeme inajitegemea na maji mnashare wanne
Kwenye compound mpo wanne
Kodi 180k kwa mwezi
Malipo miezi sita
Location iwambi
Dakika tano kutoka lami
0742941423


















