Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani barabarani
<> chumba kimoja master na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅nyumba mpya kabisa
✅nyumba Ina mazingira mazuri
✅nyumba nzimuri na safii
<> asking price 200k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20k
<> malipo miezi sita (6) sio ya kukosa
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837