Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kiluvya, Pwani







CHUMBA KIMOJA KINAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #70k
Chumba kikubwa kipya choo pembeni cha kwako mwenyewe
Kodi 70,000 kwa mwezi × 6
Umeme BUREEEEEE
Maji BUREEEEEEEE yanaflow chooni
Umbali dakika 8 kwa mguu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
O753454167