Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA SEBULE PUBLIC TOILET YA NDANI 150K
KODI LAKI MOJA NA NUSU
TYRIES GYPSUM MADIRISHA SHATA HAINA FENSI ILA MAZINGILA MAZULI SANA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO
UMEME UNAJITEGEMEA PIA MAJI DAWASA NJE
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0677445508