Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 150,000 x 6 ) KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER NA JIKO LA KISASA INAPANGISHWA NDANI YA FENCE
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA NA JIKO LA KISASA NA CHOO CHA NDANI KWA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDA
NDANI YA FENCE PARKING SPEACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747