Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAFAULISHWA==250K
-----------------
PIGA SIMU 0755831740
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UKIWA UNATOKA MJINI UMBALI NI DK 4 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
---------
SIFA ZAKE =
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI MITA YAKO
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
FULL PEVING BLOCK
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
------
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA AMBAYO NDIO ANADAI MPANGAJI ANAEHAMA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
------
NB =
ULIPIAPO NYUMBA RUKSA KUHAMIA WAKATI WOWOTE ,SINA CHENI BIASHARA NAMALIZA UKIJA NA CHENI UTAOVAA MWENYEWE.
------