Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿MASTER_ROOM #INAPANGISHWA
📍Kimara Korogwe
🕑Umbali wakutembea Dakika 6 Kutoka Stand ya mwendo kasi
#SIFAZAKE
🔸Chumba kimoja Master kikubwaa
🔸sehemu ya jiko
🔸Umeme Sub-meter yake
🔸Maji yanaflow ndani
🔹Nyumba zipo ndani ya fance isiyo laza gari
👉Ziko 5 hapa na hii Moja inakuwa wazi Tar 03\01\2025 kuona ma nakufanya malipo una rusiwa
🔹KODI Tsh 160,000/= ×6(MIEZI SITA)
🔹MALIPO YA DALALI TSH 160,000/=
🔹SERVICE CHARGE Tsh 15,000/=
#Piga_simu📞
0712528820
0685221354
#. &Whatsapp
#please #Follow us 🙏
Karibu Sana Mteja ☺