Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA MPYA KABISA KODI 400,000X3
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 BARABARA NI LAMI MPAKA MLANGONI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SANAA
#SEBULE KUBWA
#JIKO LA MAKABATI
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA 🚫
IMEBAKI MOJA TU NDUGU MTEJA WAI
###0655256419