Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA MPYA KABISA KODI 400,000X3 OR 350,000X6 WEWE TU NDUGU MTEJA 
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 BARABARA NI LAMI MPAKA MLANGONI 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SANAA 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO LA MAKABATI 
#PABLICK TOILET 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO 
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA ๐ซ



















