Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana Nzuri
Location kimara korongwe kilungule km 2 usafiri bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 150000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master na Jiko
Umeme mnashea 2
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128