Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA KARIBU NA BARABARANI DK 3 TU ZIKO MBILI TU ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 25/07/2024 MALIPO RUKSA
#MASTER BED ROOM NA JIKO LAKE
#CHUMBA KIMOJA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO LAKE
#LUKU 2 SUBMITER
#MAJI DAWASA SUBMITER
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS BUSTANI SAFI MAZINGIRA MAZURI SANA NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12 BAADA YA HAPO UTALIPA MIEZI 6 TU
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087