Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







*SOMA KWA MAKINI NDUGU MADALALI*
*#APARTMENT MPYAAAAA
INA PANGISHWA KIMARA
MWISHO(DSM)🇹🇿
UMBALI WA KILOMETA1.5 KUTOKEA BARABARA YA LAMI....*
------
USAFILI UPO MWINGI WA
BAJAJI NOAH SHILINGI 700/=
BODA BODA ELFU 1000/=
____
#Chumba Kimoja
#kikubwa Master
#Sebule kubwa sana
#Na Jiko lako kubwa
#Madilisha ya nyavu
#Full Tiles
# Gypsum body
#Maji yana flow chooni
#Umeme Luku Watatu
#Maji dawasa miters yako
#Nyumba hakuna fensi
# parking space ipo
#security 24HRS kilakona
#Mazingila mazuri sana mno
--------
Service charge ni
shilingi 15,000/=
Kodi ni Tsz 200,000/=X"3"
(akuna punguzo la miezi)
----------
Contact's :0656623510
What'spp:0752436347