Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA 
KODI 250,000/=ร6 
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 2 UPO NYUMBAN 
SIFA ZAKE 
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA 
#SEBULE NZR
#JIKO OPEN KITCHEN 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO 
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE AKUNA PERVING BLOCK SAFI ๐ซ 
PIA KUNA CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA MAJI UMEME VINAJITEGEMEA 
KODI 150,000/=ร6 
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343




















