Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿House For Rent Stand Alone
Location: KIMARA BARUTI
Distance: Dakika 8 Kutoka Morogoro Road
KODI 350,000 × 12
Sebule Kubwa Sana
Vyumba V3 Vikubwa Vya Kulala
Chumba Kimoja Master
Jiko Kubwa Zuri
Public Toilet Nzuri 🚻
LUKU Independent
Maji Yanaflow Ndani 24HRS
No Fence
Usalama Kama Lugalo
Good Environment 👍
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp