Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







ARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 230,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE NA JIKO KUBWA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO PEVING BLOCK ๐ซ
MAWASILIANO
0679997610
0658884015
Msigwa