Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA "SINGLE"
KIZURI SANA NA JIKO
NDANI YA FENCE
KINAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
======
π₯ KODI YAKE 60,000/= X6
ILIPWE ELFU SITINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA.
=========
#NYUMBA HII IPO NDANI YA FENCE
#LAKINI HAILAZI GARI.
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#MAJI SAFI DAWASA
#UMEME WANASHARE W4.
#CHOO WANASHARE W2.
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 15,00/=
=========
βΌοΈ *HAPA ANATAKIWA MPANGAJI WA KIUME BACHELOR* βΌοΈ
ποΈπΉπΏ KARIBUNI SAANA..
======
CONT
0683234124
0718367179