Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 90,000 x 4 KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER INAPANGISHWA
UMBALI WA KILOMETA (2,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA KIDOGO TU
CHUMBA KIMOJA CHA WASTAN
NA CHOO CHA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME SUBMETER
MAJI DAWASA YANAFLOW
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637