Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara korongwe km2 usafiri upo bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 300000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master Sebule Jiko Umeme luku yake Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block Parking space Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















